Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Yaani Rais kupiga picha tu, chawa washaingia studio kutengeneza nyimbo out of that picture.
Huyu D Voice ndio alikuwa the last standing artist hapo Wasafi bila viashiria vya chawa ila naona nae kashakuwa chawa wa mama.
Yaani Rais kuwa photogenic kidogo tu watu mshaingia studio kutunga nyimbo kumsifia.
Inasikitisha na kuhuzunisha sana!