Huyu dada abarikiwe sana: she made my life easy

Huyu dada abarikiwe sana: she made my life easy

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,113
Reaction score
65,124
Simfahamu huyu dada lakini mapishi yake yamenifanya nione maisha rahisi sanaaaa!
Antumia lugha ya kiswahili na anaeleweka sana kwakweli.
Youtube Chanel yake inaitwa Aroma of Zanzibar.


Mabachela changamkia hii fursa,
Kuna mapishi ya hatari humu aisee!
 
Back
Top Bottom