Nikupe sir, ukimwona mwanamke kakuvutia basi ujue ana matunzo. Matunzo yenyewe ni pamoja na hela ya kusuka, kununua mafuta, kuvaa vizuri nguo za kumependeza, kununua perfume, anahakikisha anakula anashiba vizuri nk. Sasa wewe unataka kumtumia mwanamke unavyotaka na pili unataka umtumie bure umchakaze, si kweli. .
Mie binafsi sijawahi ombwa hela na mke wangu tangu uchumba kwa miaka nane mpaka nimemuoa. Kifupi nilikuwa nahakikisha anapata kila anachohitaji ili nimfurahie. Kuna mda hata nikimpa hela akigoma nilikuwa namwekea kwenye pochi. Voacha nilikuwa namuwekea kwenye cover la simu. Huduma lazima
😛