Huyu dada ana deserve "Oscar" award

Huyu dada ana deserve "Oscar" award

TheChoji

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
5,771
Reaction score
17,849
Nimeiangalia hii clip ambayo huyu dada amefanya "cover" kwenye sauti ya mchungaji mgogo, aisee huyu dada ana kipaji cha hali ya juu! Hii performance aliyoonyesha hapa ni kiwango cha hollywood 😂😂 Nampendekeza kwenye tuzo za Oscar mwaka 2021 jina lake liwepo..!
 
Tunaanzisha kitengo cha movie ndo maana hata kajala naa pau walikuwa kwenye usahili
Na wote hao mmewatafuna kabla hata kitengo hakijaanza..! Haka sikaleti ng'oo 😂
 
Back
Top Bottom