Huyu dada ana deserve "Oscar" award

Noelia hebu toa ushuhuda..mie nachojua age hizo unapata raha ila sio raha tunayoijua sisi au naongopa ndugu yangu🀣🀣..raha yetu usipokua makini kbs unaacha wanao
Kufeel utamu nilikuwa 26, na hiyo nanihiiii ya uhakika ni juzi tu nikiwa 29 kwangu mimi Sasa wengine sijui ilikuwaje

Chini ya 26 nilikuwa nabakwa tu dadaanguπŸ˜₯
 
Mkuu, kwani kujirekodi Tiktok kwahitaji ujuzi na kipaji, ama umeamua tu kutufurahisha?
 
Mkuu, kwani kujirekodi Tiktok kwahitaji ujuzi na kipaji, ama umeamua tu kutufurahisha?
Kipaji nachokizungumzia hapo ni cha kuigiza mkuu, japo najua hapo labda katumia tu simu kujirekodi. Nawaza huyu ukimkutanisha na script iliyoandikwa na mtaalam kama Marc Cherry, LaManna au Todd Phillips halafu kwenye production umuweke mzee mzima Birnbaum itakua ni balaa πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…