Mrembo ila hajiamini....
hivi haya maisha ni ya kujing'ang'aniza kwa mwanaume baradhuli kama huyo? Huyo mdada ana lake jambo sina hakika ni kupenda.
Lol, hivi kuishi na mwanaume kumbe nayo ni sifa eeh? Subiri anyongwe huko ndani ndio atajua kuwa sifa zina faida na hasara.amefungwa pingu huko ndani? Au ndo kutaka ushahidi/sifa kuwa anaishi na mwanaume!
Bora angekuwa na ndoa ile ya kifo ndicho kitatunganisha.
Mie simuelewi kabisa!
Lol, hivi kuishi na mwanaume kumbe nayo ni sifa eeh? Subiri anyongwe huko ndani ndio atajua kuwa sifa zina faida na hasara.
Mrembo ila hajiamini....
hivi haya maisha ni ya kujing'ang'aniza kwa mwanaume baradhuli kama huyo? Huyo mdada ana lake jambo sina hakika ni kupenda.
Hahaha! Sante mke mwenza, mie hapa sina cha kuongeza!..lol.Mke mwenza,huyo dada anajiamini sana kuliko mimi na wewe. Sema anajiamini kwenye sekta tafauti.
Kupanga ni kuchagua. Labda ana strategy yake, wanasema anaecheka wa mwisho kuna mawili, haelewi haraka ama ndo atacheka kwa muda zaidi!
Mtoa mada,nifikishie pongezi kwa huyo dada
mke mwenza,huyo dada anajiamini sana kuliko mimi na wewe. Sema anajiamini kwenye sekta tafauti.
Kupanga ni kuchagua. Labda ana strategy yake, wanasema anaecheka wa mwisho kuna mawili, haelewi haraka ama ndo atacheka kwa muda zaidi!
Mtoa mada,nifikishie pongezi kwa huyo dada
Hahaha! Sante mke mwenza, mie hapa sina cha kuongeza!..lol.
Kumbe ndio mana na wewe umejing'ang'aniza kwa kakake ashadii eeh? Unipe hiyo siri mwenzio manake mie nna moyo mwepesi kupita maelezo.
Anabwana kazaa naye.
Amelazimisha kuhamia kwa bwana,
Anakaa chumba cha wageni,
Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba.
Bado huyu mdada ameng`ang`ania huko ndani.
Sijui asaidiwe vipi maana huyo bwana ni mwisho wa matatizo.
Na dada nimrembo na anakazi bomba kabisa!
elimu na kazi yake hazijamkomboa anaona huyo jamaa ndo mkomboazi wake