Nalisha ongea naye sana,rafiki zake walishaongea naye sana, tena kwa mapana na marefu .Lakini wamechemsha ameng`nga`na huyu mrembo...

uyo dada kafanywa ndondocha hajijui!!
Anabwana kazaa naye.
Amelazimisha kuhamia kwa bwana,
Anakaa chumba cha wageni,
Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba.
Bado huyu mdada ameng`ang`ania huko ndani.
Sijui asaidiwe vipi maana huyo bwana ni mwisho wa matatizo.
Na dada nimrembo na anakazi bomba kabisa!
Aisee...Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa!.