DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23,928 Reaction score 63,499 Nov 11, 2022 #1 Naelekea stendi ya Magufuli nipo Katika Chuma moja ya Mwendo Kasi na inatembea vizuri na Mwanamke ni dereva unyama Ni Mwingi .
Naelekea stendi ya Magufuli nipo Katika Chuma moja ya Mwendo Kasi na inatembea vizuri na Mwanamke ni dereva unyama Ni Mwingi .
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Nov 11, 2022 #2 Muombe namba yake nimsalimie. Mwambie mm ni mstaafu asitie shaka kuhusu pesa pia ninaweza kumtafutia koneksheni akawe pilot wa ATCL. Kupanga ni kuchagua!
Muombe namba yake nimsalimie. Mwambie mm ni mstaafu asitie shaka kuhusu pesa pia ninaweza kumtafutia koneksheni akawe pilot wa ATCL. Kupanga ni kuchagua!
Yofav JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 4,236 Reaction score 7,583 Nov 11, 2022 #3 Sawa, siku akiimwaga kushoto pale Kijazi utaelewa
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,585 Reaction score 11,601 Nov 11, 2022 #4 Kuna dada moja anaendesha chombo cha Feri kwenda Mbezi, bonge kidogo hivi mweupe huwa anakimbiza gari hadi raha, hana shobo
Kuna dada moja anaendesha chombo cha Feri kwenda Mbezi, bonge kidogo hivi mweupe huwa anakimbiza gari hadi raha, hana shobo