Huyu dada kaja arusini kumjaribu bwana harusi ama??wafanyakazi wa tsn tusaidiane??

Huyu dada kaja arusini kumjaribu bwana harusi ama??wafanyakazi wa tsn tusaidiane??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
IMG_0543.JPG

MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA KUMVALIA MWENZENU NGUO KAMA YA HUYU DADA KATI SI KUMJRAIBU SHETAN ALAFU MNASEMA SHETAN AMESHINDWA USHINDWE WEWE NA TAMAA ZAKO ZA DUNIA
 
Wafanyakazi wa tsn wakiwa harusini kkwenye mnuso wa mwanahabri shedrack sagati wa habari leo...kazi ipo bw arusi mungu akutie nguvu ukiona mtu kama huyo kwenye zawadi hata mikono usimpe utashika mapepo uachane na mkeo wengine wametumwa kuaharibu ndoa za watu ila miguu shomvi ..mmhh

nimeshaoa
 
IMG_0543.JPG

MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA KUMVALIA MWENZENU NGUO KAMA YA HUYU DADA KATI SI KUMJRAIBU SHETAN ALAFU MNASEMA SHETAN AMESHINDWA USHINDWE WEWE NA TAMAA ZAKO ZA DUNIA

kwanza miguu yenyewe mibaya, ana minyama uzembe, ashindwe!
 
Sura - 0
Umbo - 0
Usafiri - -0
Nywele - -2
Viatu - -1
Kivazi - 0
Handbag - 0

Need I say more?
 
Mie sijaona cha kumtega bwana harusi hapo. Mbona kama changu vile???
 
mnh kisura anaonekana ana umri,
miguu yake not bad for her age,
mguu unalipa sana huo...
hata ningekuwa mie ningewavalia vimini....
wewe mdada kny picha keep it up,at least macelulite yako yamekaa kimpangilio!:teeth::whoo::whoo:
 
Unazidi kumchuza mwenzio aonekane kituko..
 
Not bad may be aliambiwa ukienda harusini ndio unakutana na vijana waoaji wa ukweli ,so akaamua kuwafunulia kabisa.
 
Unazidi kumchuza mwenzio aonekane kituko..

kwa nini unasema hivyo??.....mie kwangu, sio siri naona ni mrembo na natamani niwe na miguu kama yake na umbo kama lake mcheki tena bana...:embarrassed:
 
Alitaka kuonesha huo 'usafiri'! Ila hana hata aibu?! Nguo ni fupi mno.
 
Hehehehehe jamani umri umri umeenda kwani ninyi mtabakia hivyo hivyo nanyi mtazeeka acheni kufikiri miaka ya wengine inasimama ya wengine inasonga. Kikubwa cha kumlaumu huyu dada hiyo nguo aliyovaa si mahala pake amevaa utafikiri anakwenda nite club wakati ni harusini ambapo kuna watu na heshima zao na wake zao na waume zao.
 
Ila ana mguu,mimi nimefika bei kuanzia huo mguu hadi kwenye kiuno.
 
kwa style hiyo sitegeki hata aniendee kwa babu bagamoyo

kachoka mno bana!!:nono:
 
Guess what! It looks like I know this mtu, haaahaaa! Duuh! Labda bia zilianza mapema akajisahau. But ni mu mzuri kwa kweeeli.
 
Back
Top Bottom