MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA KUMVALIA MWENZENU NGUO KAMA YA HUYU DADA KATI SI KUMJRAIBU SHETAN ALAFU MNASEMA SHETAN AMESHINDWA USHINDWE WEWE NA TAMAA ZAKO ZA DUNIA
mnh kisura anaonekana ana umri,
miguu yake not bad for her age,
mguu unalipa sana huo...
hata ningekuwa mie ningewavalia vimini....
wewe mdada kny picha keep it up,at least macelulite yako yamekaa kimpangilio!:teeth::whoo::whoo:
Unazidi kumchuza mwenzio aonekane kituko..
Sura - 0
Umbo - 0
Usafiri - -0
Nywele - -2
Viatu - -1
Kivazi - 0
Handbag - 0
Need I say more?
kwa style hiyo sitegeki hata aniendee kwa babu bagamoyo
kachoka mno bana!!:nono: