uzuri wa mtu tabia.hapo kila kitu zero
MICHUZI HUYU BIBIE WAKATI SI KUMJARIBU BWANA HARUSI JAMANI NA WAPENDWA WALIO HARUSINI
ENYI WANA WAKE MKIWA MNAENDA KWENYE NDOA ZA WENZENU JUENI MWENZENU YAMEMSHINDA KAAMUA KUTULIA NA MMOJ ASASA KUMVALIA MWENZENU NGUO KAMA YA HUYU DADA KATI SI KUMJRAIBU SHETAN ALAFU MNASEMA SHETAN AMESHINDWA USHINDWE WEWE NA TAMAA ZAKO ZA DUNIA
Mie sijaona cha kumtega bwana harusi hapo. Mbona kama changu vile???
mmh jaman si vyema kuwaanika wenzenu km ivi
si poa
asi night dress jaman au mliutaka avae baibui?
mnamnyambua sana si vzur
mavaz ya mtu ni hiari yake sasa mnamvyomchamaba apa as if kafanya ajabu la 9 la dunia si vyema
mwachen dada wa watu
mbona nyinyi hamsemwi?
thou siung mkono uvaaji wake stl si vyema kuayapaisha km mnavyoyapaisha apa
Sura - 0
Umbo - 0
Usafiri - -0
Nywele - -2
Viatu - -1
Kivazi - 0
Handbag - 0
Need I say more?
Sura - 0
Umbo - 0
Usafiri - -0
Nywele - -2
Viatu - -1
Kivazi - 0
Handbag - 0
Need I say more?
Aisee nimempenda huyo dada aliyevaa cheni ya msalaba shingoni
uzuri wa mtu tabia.hapo kila kitu zero
teh teh teh!!unajua suala la uzuri ni mtazamo tu wa mtu!wazungu wanasema "beauty is in the eyes of beholder"
mimi nampa alama kama ifuatavyo:
umbo - 71%
usafiri - -70%
nywele - -85%
viatu - -42%
kivazi - 37%
handbag - 58%
tabia?, kwani unataka kuoa hapo?