Huyu dada kanichukuliaje?

Unafanana na tapeli
 
Tafuta hela na wewe uanze ona kila aliyekuzunguka ni kama kibaka tu...
 
Mkuu utakuwa ulivaa zile jeans za kuchanika na ambayo imekatwa kwa chini. Hivyo huyo dada akakuona utakuwa kibaka.

Ungekuwa umevaa kama gentleman asingekufanyia hayo yote.
 
Restraurant ndo wapi jamaa!!
 
Mkuu utakuwa ulivaa zile jeans za kuchanika na ambayo imekatwa kwa chini. Hivyo huyo dada akakuona utakuwa kibaka.

Ungekuwa umevaa kama gentleman asingekufanyia hayo yote.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…