MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikaa kimya basi Sura na Roho zote ni kama mafenesi tu..Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684
na angepewa mpaka tunda.[emoji1787] ila ungemwambia tu lengo la salamu yako kisha ukasepa na hapo ungempa funzo kubwa na si ajabu ingekuwa mwanzo na mwisho wa hizo kauli zake mbaya.
Ungejifanya fisi kabisa ufatilie Hadi idondoke.Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684
😆😁😄😃😀😇Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684