MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ukikaa kimya basi Sura na Roho zote ni kama mafenesi tu..Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684
na angepewa mpaka tunda.[emoji1787] ila ungemwambia tu lengo la salamu yako kisha ukasepa na hapo ungempa funzo kubwa na si ajabu ingekuwa mwanzo na mwisho wa hizo kauli zake mbaya.
Ungejifanya fisi kabisa ufatilie Hadi idondoke.Nimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684
ππππππNimekaambia mambo sista kakasema hakaongei na watu wenye sura kama mafenesi ngoja nikaache kapate hasara
View attachment 2187684