samahani ndugu kama umekwazika na maoni yangu....Wewe ulitaka ifikie wapi?
Kama jambo halikuhusu unaachana nalo,wote hatuwezi kua na msongo wa mawazo kama wewe,tunajipa furaha utakufa bure siku sio zako.
Unataka kujifanya unawaza mambo ya nchi ulikua wapi siku zote? Achana na yasiyokuhusu.
Asije kukuchana msambaBasi na mimi kuna mbaba kaingia anga zangu kanambia atanitoa outing, haturudi nyumbani Leo liwalo na liwe
Kwa maneno haya hii stori yako ni ya kutungaWewe ulitaka ifikie wapi?
Kama jambo halikuhusu unaachana nalo,wote hatuwezi kua na msongo wa mawazo kama wewe,tunajipa furaha utakufa bure siku sio zako.
Unataka kujifanya unawaza mambo ya nchi ulikua wapi siku zote? Achana na yasiyokuhusu.
Usisahau na picha. Ila inaonekana utaibiwa tu, yani hayo mayowe ya kuigiza ili ujue nawe umemkuna umpe hela.
Kwenye malindo wanapigwa sana, sa we utampa nn cha ajabu?!
mmekutana. chunga sana huyu jamaa hajulikani(The unknown).Basi na mimi kuna mbaba kaingia anga zangu kanambia atanitoa outing, haturudi nyumbani Leo liwalo na liwe
Ha haaBasi na mimi kuna mbaba kaingia anga zangu kanambia atanitoa outing, haturudi nyumbani Leo liwalo na liwe
Hapa ni CC....!Hapa ndipo ilipofikia JF HOME OF GREAT THINKER....