Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofautiMburaa mrembo ivyo anakuwa mwiziii jamaniii mbona akiwaomba tu kwa ustaarabu atapewa [emoji23][emoji23]
Sasa kama unatafuta wafu makaburini cha ajabu nini? Hiyo picha sio yake, ameichagua tu mtandaoni awaweke wakora sawa. Huo ndio unaitwa mtama kwa watoto. Na usijeshangaa mwenye kuyafanya mambo haya ni mwanaumeYani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Ata mimi nimemuona huko!!!Namuona sana Insta
Daaah kweli mambo yamekuwa magumu jamaniiiYani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Ni kweli kabisa watu wanatumia picha za watu kufanya utapeli. Kama sikosei huyu binti ni video vixen na Insta anatumia jina Eryca kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.Ulishawahi kukutana nae?
Maana wengine wanatumia picha za watu vibaya. Pengine anafanya hivyo kutumia picha ya mtu tu.
Ila matapeli wa hivyo wapo wengi mnoo. Kuweni makini
Wanaharibu Sana sana aseeNi kweli kabisa watu wanatumia picha za watu kufanya utapeli. Kama sikosei huyu binti ni video vixen na Insta anatumia jina Eryca kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
Kama ni Eryca si ndiyo mchumba wa Linex???Ni kweli kabisa watu wanatumia picha za watu kufanya utapeli. Kama sikosei huyu binti ni video vixen na Insta anatumia jina Eryca kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
Sijajua mkuu, sio mfuatiliaji sana wa macelebrity.Kama ni Eryca si ndiyo mchumba wa Linex???