Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 777
Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Cha!![emoji15]Mburaa mrembo ivyo anakuwa mwiziii jamaniii mbona akiwaomba tu kwa ustaarabu atapewa [emoji23][emoji23]
Nimesahau jina ila nikikaona tens nitakuja hapaAnatumia jina gani?
Mwizi huyo inabidi umuepuke
Huyu nani ampende na utoto wake. Umemsahau?usikute amekukataa ukaamua kumchafua
Wanatumia tu picha zake kutapeli watu Huyo sio mwizi kabisa!Anatumia jina gani?
Mwizi huyo inabidi umuepuke
Sio mwizi bwana ila hao waliofungua hizo account labda ndio wezi wanaotumia jina na picha zake kuibia watuAnatumia jina gani?
Mwizi huyo inabidi umuepuke
unamjuaje?Mkuu,watu tu wanatumia vbaya pcha yake,ila mm bnafsi namjua,umalaya sijui km anao[emoji23]wiz ntamtetea kwa saut kubwa,sio mwiz na ad macelebrity wetu wanamuombaga atokee kwny vdeo..
Hta nkikupa namba umpgie utaamin sio mwiz,ila ndo ivo sikupi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kweliusikute amekukataa ukaamua kumchafua
Hilo sio jina lake halisi ,ana majina mengi sana huyu kiumbeNi kweli kabisa watu wanatumia picha za watu kufanya utapeli. Kama sikosei huyu binti ni video vixen na Insta anatumia jina Eryca kama kumbukumbu zangu ziko vizuri.
Huyo dada wa moro alifanyaje?Mbona mtoto? Afahamishwe za mwizi kuwa ni 40, yazije mkuta ya yule Dada wa Morogoro
Mkuu avatar yako bomba sanaAta mimi nimemuona huko!!!
Utajuaje kama hilo erry cah ni jina lake halisi?Sio mwizi bwana ila hao waliofungua hizo account labda ndio wezi wanaotumia jina na picha zake kuibia watu
Jina lake na account yake halisi ya instagram ni @erry_cah
Niombee asije akaniiba nq mimi ukabaki mupweke mupenzi weeh...!Ata mimi nimemuona huko!!!