Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #41
Alitaka kunitapeli pesa huyoUnamchafua tu mwanamke huyo, kwasababu haujaandika alichokuibia au kitu cha kukusukuma kumwandika.
Duh,huyu yupo mtandao wa Hitwe,fb,insta ,whatsup halafu kote ana majina tofautiukienda kule badoo ana majina 100 na ushee ukijitia uroho tu achelewi kukupiga mzinga
Madege ya sio liwaJamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke
Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc
Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
Ukiona manyoya[emoji23] [emoji23] ukisikia uwii ujue mtu ashapigwa mtwangio wa kichwa [emoji23] [emoji13]
Duh,huyu yupo mtandao wa Hitwe,fb,insta ,whatsup halafu kote ana majina tofauti
Hiyo Fb ana accounts nyingi sana ila majina tofauti
ujue mtu kamkosa ndege kamtoroka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]Ukiona manyoya
Tunajiungaje hayo magroup naomba namba basii[emoji39]Yani hii sura nakutana nayo mara kwa mara hasa magroup ya malaya whatsup ukiomba picha tu ya mrembo unatumiwa ya huyu dada ila majina yanakuwa tofauti tofauti
Umetishaa[emoji16][emoji16]na mimi naomba nijeJamani,mbona kazuri sana,mnipe contacts zake kaje kwangu kaniibie,acheni watoto wazuri wake kwangu ufalme wangu in wao.
Wazee wq mitungoHuyu Dawa yake ni mtungo baaaasi
Wewe ndio mshamba..... Hizo account unazoziona sio zake. Ni watu wanafungua hizo account wanatumia picha zakeJamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke
Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic etc
Kuweni naye makini anajifanya anatafuta marafiki wa kiume kumbe anawaibia
kule badoo yuko sana mkuu tena anajifanya anaishi kibaa ila jina limentoka kuna jamaa wangu aliingizwa cha kike na huyu mtu mie kashantumie picha kibao badoo sema nimempotezeaDuh,huyu yupo mtandao wa Hitwe,fb,insta ,whatsup halafu kote ana majina tofauti
Hiyo Fb ana accounts nyingi sana ila majina tofauti
Sasa unajuaje ndo mwenye picha hiyo?? Anaweza akawa ni tapeli mwingine tu anatumia picha hiyo kuwavuta watu!Alitaka kunitapeli pesa huyo
Nilimwomba anitumie picha za uchii akaniambia nimtumie pesa kwanza nikakataa ,nikamwambia aje tutombane akakataa akasema yeye ni picha tu masuala ya kukutana hataki
kwa nini ni yeye tu na si wengine?Wewe mtoa mada ni mkurupukaji
halafu utakua mshamba kichizi
Hii mitandao huelewi na huyo
demu itakua humjui hanaga njaa
za kukuibia mshamba kama wewe
Huyo ni model na ni video queen
unadhani anaweza kukubali
Kuharibu career yake akutapeli wewe?
sema picha zake zinasambaa
Sana kwenye mitandao watu
wanafungua account fake kwa
Picha za huyo demu wawatapeli
Maboya kama nyie ambao mkiona sura
tu mnapagawa na kudata
Cheki page yake ya Instagram
Ni moja tu na analalamikaga
Picha zake zinatumiwa isivyo sahihi
Kwa hilo wenge utatapeliwa kila siku
Nilishtuka baada ya kuweka ngumu kukutanaSasa unajuaje ndo mwenye picha hiyo?? Anaweza akawa ni tapeli mwingine tu anatumia picha hiyo kuwavuta watu!