Huyu Dada ni mimba kweli au??

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
Wakuu kuna binti mmoja hapa jirani na ninapo ishi nilitokea kuwa na mahusiano nae ,kuna siku alikuja ghetto nikamgegeda kwa bahati mbaya sikuvaa kinga(condom)nilikuwa na mzuka sana Baada ya uvumilivu kunishinda ila mtoto ni balaa amejaza kwa nyuma yani simchezo akipiga hatua moja mzigo nyuma unatikisika zaidi ya Mara tatu .churaaaa

Wakuu
Juzi katuma SMS "baby wajua nina mimba yako nakuomba urudi nakupenda sana " nika replay kimzaa "dear na mi nimetoka hospital Nina Ebola" jana akapiga simu baby Nina mimba najua unaogopa kwetu mama&dady nimesha wambia wamenielewa usiwe na wasiwasi Leo tunakuja kwako .

Mbaya zaidi
Mzee wake ni mjeda kachafuka ni mtata kauzu full roho mbaya
Maza ni hakimu .
Tatizo
braza wake juzi kati nilimzingua nilipiga kichwa nika mpasua mpaka haka zimia wanangu wakamchukulia simu nikakimbia kitaa mzee na anko wake wakawa wananitafuta msako mkali

Hapa nipo chimboo simu nilizima kuwasha SMS kibao za huyu Dada ??dah sijui nijitokeze maghettoni ??au nikae huku chimboo tu
 
kwa mwendo huu ikipigwa kura wanaotaka sanamu ya askari itoke awekwe mbongofleva au ibaki naona watakao taka itoke watashinda kwa kishindo
Yah mkuu maana wakina kitwanga wapo weng
 
Magu angezuia uagizaji wa smart phones kuliko sukari ili tutengeneze viwanda vya simu
Mkuu sukari zinatoka mbali ,hila smart phone hapo China tu maana kazini kwetu wachina wanakuja kwa baiskel
 
Kumbe na wewe NI mtunzi wa hadithi za kufikirika
 
Baada ya kumaliza kusoma nikarudi niangalie jina , nilijua ni yule GENTLEMYCINE..kumbe pacha wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…