mkuu,jifanye kama huoni,ili tuuvute vute mwaka huu,tuukaribishe mwaka mpya!Hizi mbona kamba aiseee.
Hiii picha imetamalaki sana mitandaoni, acha kambaaa
Mkuu kwa heshima zote, hili suala sio la kuomba ushauri hila unafurahsha genge tu.We toa ushauri mkuu.. inawezekana rafik angu nliemtumia anipe ushauri kairusha sehem nyingine, cha msingi shauri mkuu
Hili lijamaa liongo sn hii pic yakitamboo mijitu mingine haitumigi akili wakati wa kupost jambo linafkiri pic hii watu hawaijui pumbavu kabisaHizi mbona kamba aiseee.
Hiii picha imetamalaki sana mitandaoni, acha kambaaa
Haha mkuuu, isije kuwa yeye kaipata leo akahisi ni ngeni kwa wote, ni sawa na mbuni anafichaa macho akiamini kuto kumuona mwenzie naye haonekani,Hili lijamaa liongo sn hii pic yakitamboo mijitu mingine haitumigi akili wakati wa kupost jambo linafkiri pic hii watu hawaijui pumbavu kabisa
Mamodo au???? HahaaNgoja niwaambie mamod wauhamishe