Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

Huyu dada scorpio me kauteka moyo wangu

mtumweusi

Senior Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
148
Reaction score
147
Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
 
66cd3e118e03c37d316c7f276d86ad12.jpg
Screenshot_2017-01-08-21-10-46.png
 
Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Muombe namba ya Tigo pesa.
 
Visirid vya namna hii siku hizi vimekuwa vingi sana, ngoja na mimi niandae ya kwangu kuna bidada humu JF nikinywa maji namuona kwenye glass [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Hzo poda tu zinakuchanganya akinawa uso tu utasema sio yeye
 
Dah we kijana jioneye huruma wapende unaowaona hapo kijijini kwenu unaweza ukakuta uyo scorpion ni dume kama wew tena mweny muhogo kama uo wako ,labda unatafute dume wew .
 
Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo kwa chemical, na mie nataka nimuweke ndani huyu binti anaeunyanyasa mouo wangu
Unajuaje kama ndio yy mkuu
 
Back
Top Bottom