Huyu dada sijui vipi!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hello wakubwa,kuna mmanzi nlimpgaga sound akanikataa kwa kigezo kwamba ana boy wake na ni kwel nlkuja kugundua ana msela,wel juzi kati kanambia wamebreak na msela,me nkampa pole tu na faraja,sa ameanza tabia ya kuniita majina ka sweet,hny etc,leo nimemuulza kiujanja kwa nin ananiita ivo akajbu eti ni coz ananipenda na angependa tuwe wote sasa as hana kizuizi tena.sa wakubwa mnanishaurje me nina gal wangu kwa sasa.vp nichakachue huyu thn niingie mitini au?
 
Hujaingia mitini bado!!!!!!!!
 
Nisikilize mie senator mwenzio,je siku ugomvi wao ukiisha siatakutosa,ila km unataka kukamata na kuchnja utanyonyoa baadae hamna noma,km ndio 4rever & 4alwys,usikulupuke,karibu jmbon kwngu.
 
Maswali mengi mnapouliza sijui mnataka mjibiwe vipi........... Mi mbona sioni swali hapo!!!
 
The truth will set you free!
 
Huyu anataka kukutumia ww kama cover ili amtie mawivu boyfriend wake so nenda kwa step na ujue unachokitaka ni nini
 
Nisikilize mie senator mwenzio,je siku ugomvi wao ukiisha siatakutosa,ila km unataka kukamata na kuchnja utanyonyoa baadae hamna noma,km ndio 4rever & 4alwys,usikulupuke,karibu jmbon kwngu.

hivi we ni senetor wa jimbo gani vile?
 
We senetor, do you really love your gilfriend?? Ni maswali gani hayo unajiuliza???????? Tulia kijana................... tulia!!!!
 
yani kabisaaaaaaaaaaaaa umekuja hapa kutuliza uchakachue au lah! how old are u any way??
 
yani kabisaaaaaaaaaaaaa umekuja hapa kutuliza uchakachue au lah! how old are u any way??

Mie hata lugha yake imenifanya nijiulize maswali, inaonekana adolesence iko kwenye peak
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…