Sijui alikuwa anafikiria nini, isikute hata msichana wake anamwambiaga"mimi handsome bwana"Duh, nimefurahia wachangiaji maana tumeweza kumsoma vizuri kijana wa UDOM hata kwa maelezo mafupi aliyotoa. Yaani angeendelea kuandika tungeweza kumake conclusion kabisa bahati nzuri ameamua kukaa kimya. lakini nafikiri ameweza kujifunza vya kutosha na atabadilika...concl: mwanaume hata siku moja hasifiwi/kujisifu kwa sura.. acha utoto badilika...safari moja tu ya SA unaanza kujifagilia kwa madem wako siyo issue you will always loose them.
Sijui alikuwa anafikiria nini, isikute hata msichana wake anamwambiaga"mimi handsome bwana"
teh teg teh eeeh! Umemmaliza kabisa,nafikiri harud tena hapaI am attractive Tanzanian ,very handsome guy aged 25 years old
Hahaha!!! Mwambie Handsome Boy walau aende hata British Council apige lugha pale si bure akitoka paleMkuu ukiandika CV yako namna hiyo yule Human Resources Manager unaweza shangaa anakuambia mkutane mahali jioni kama ni mwanaume
Siku zote huwa nasema tumia lugha unayoifahamu vizuri, hivi viswanglish vitakuumbua, kama umeenda shule kiingereza kikakuzingua basi tumia busara kujieleza utaeleweka.Hii grammer ndio ulifundishwa UDOM i doubt. Halafu UDOM ni University au College????
Sijui alikuwa anafikiria nini, isikute hata msichana wake anamwambiaga"mimi handsome bwana"
Hahaha!!! Mwambie Handsome Boy walau aende hata British Council apige lugha pale si bure akitoka pale
Hahaha!!! Mwambie Handsome Boy walau aende hata British Council apige lugha pale si bure akitoka pale
Duu mafagio ndugu...kujjibooooooostt..mara nilienda sauz mara nilikuwa minister mara naambiwaw navutia...
AHHH NDO MANA ATA ID YAKO JINA LAKE NIO HANDSAM?
mhh mwanaume kujifagilia wala ainog...imekaa kikike kike....MWANAUME ALIYEKAMILIKA AWEZ AKALALIA SIFA YA UANDSAM..
mwanaume anatambulika kwa swaga zake na si upododo wa kuvutia..km we unavutia ..dadayako je inakuwaje?asemeje?
Kama ni gari yaani linatakiwa ushushe na injini yote (total overhaul)...maringo gani haya SA, Minister, Handsome etc
Du, leo kweli tumepata wa kumpumzikia...lol!
hahahah duh!!umemalizaa yote...sina la ziada
the finest bora umemwambia, haka ka chali kanaonekana kujipamba na vimaneno vya kujifagilia, hakajui hata kingereza kanajifanya kanajua, kanajifanya kazuri na wakati mwingine unaweza kukuta ha mzee Wa.c.ra ana unafuu. MhhHii grammer ndio ulifundishwa UDOM i doubt. Halafu UDOM ni University au College????
Hahahaha!! Lol!!!Du, leo kweli tumepata wa kumpumzikia...lol!
Hahahaha!! Lol!!!
Mkuu nakubaliana na observation yako. Is this a joke or what? Hivi amesema UDOM? First degree material siyo? OK I will be back.Halafu vijana wa UDOM kwa mpango huu mnamharibia JK chuo chake. imagine kama wewe ni product ya kwanza ya chuo unakuwa hivi je wanaofuatia hapo watakuwa kilaza kiasi gani...
kiukweli nimemaliza udom kuna binti nilimwa proach akasema hapana,kisa anadai mi ni handsome sana so siwezi pata wa type yangu hapa chuo,kimsingi i luks attractive even ma rummate tells me,i was student minister in government i went south Africa under sponsorship of state house na anajua it gives me popularity at college much,but simwelewi kabisa ana sms love text like my love,etc ananiletea fud rum,but simwelewi totally,tumemaliza chuo na ndo anasisitiza hivo,ila alikuwa na BF wake wakaachana nami i had mine tukaachana tena kwa amani kabisa,na anajua na they ar some how friend,it is ma first time kuja hapa pls walio siriaz na hili air out ur views,pls am so so in need of her in future,na am single,