huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

Acha kucheza na akili za watu wazima kama mimi Hukomi eehh?! Acha ujinga wewe
Dena pls kam down,mbona nina andamwa sana,why lakini?je dena mtu akiwa HB taabu?mimister taabu??S.Afrika taabu,sasa naenda Bankok Thailand tarehe 26.August,two weeks,be kind to others like Lizz
 
lizz wananikera,am new,why guys are too arrogant??kwani mtu ukiwa HB tabu??minister tabu??south Afrina taabu,washamba sana na kila siku ntapambana nao
mkuu ukiita wa2 washamba ndo unakosea,kuna people humu wao kwenda SA ni kama m2 wa hapa dar kwenda kudhurura mitaa ya posta or mwenge.so u can imagne wewe na cc nan mshamba.
 

***** ww umeamkia huku.mara minister,south,roomate wananisifia me mzuri. fukn boy
 
Dena pls kam down,mbona nina andamwa sana,why lakini?je dena mtu akiwa HB taabu?mimister taabu??S.Afrika taabu,sasa naenda Bankok Thailand tarehe 26.August,two weeks,be kind to others like Lizz
Dogo lugha ya Malkia huijui ongea kiswahili tu
 

mwana una umri wa miaka mingapi...? coz sikuhizi nasikia kuna watoto wa high school wapo jf nao
 
Dah yaani umepoteza nguvu zako kwa huyu mpuuzi pole mwaya
 
kidume unajiita mzur inakuaje ndugu it is nothing kwenye mahusiano....
 
Nenda Tai ukakutane na warabu to kutoka Saoudarabia wafanye kweli hapa unatusumbua tu na hensam wako utakuta sura yenyewe kama unakata shonde
 
So young man, do you mean you look attractive to your Roommate? and you are busy bragging for that?
When you said "...ila alikuwa na BF wake wakaachana nami i had mine tukaachana..." do you mean what i understood?

Yeah, he meant what I understud.. :msela:
 
I bet mjamaa hendisamu kila akitokeza anaambulia za uso hadi anajuta why alileta shauri lake lijadiliwe hapa..!!
Mpeni msaada Mr Hendisam piliz wajameni..!!
 
I bet mjamaa hendisamu kila akitokeza anaambulia za uso hadi anajuta why alileta shauri lake lijadiliwe hapa..!!<br>Mpeni msaada Mr Hendisam piliz wajameni..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…