huyu dada vipi,siriaz nisaidieni jamani

Atapata ya moja kwa moja si yupo education maana hao ndo waliomaliza chuo hao wengine si walifukuzwa ndo wanapiga paper toka juzi.
 
Unasoma nae, hujamaliza chuo?
 
mkuu ukiita wa2 washamba ndo unakosea,kuna people humu wao kwenda SA ni kama m2 wa hapa dar kwenda kudhurura mitaa ya posta or mwenge.so u can imagne wewe na cc nan mshamba.
Kaongeza na Thailand wiki 2, ndo anazidi kuharibu.
 
hehehe! Ukiona hvyo imeniboa sana. Hujambo kaka mkubwa?
Kaka mkubwa tena ? unataka kuninyima nini Husn jamani hahaha! Huyu wala husumbuki vifaaa vya pedicure/manicure,cleanser,moisterizer,poda vyote utavikuta kwake.
 
Kaka mkubwa tena ? unataka kuninyima nini Husn jamani hahaha! .
hahahaha! Umenikumbusha kuna mzee moja nimemwamkia shkamoo anajibu poa, nikarudia tena shkamoo, yeye poa. Nikamwambia babu nakuamkia shkamoo ndio akajibu marahaba kwa aibu. Vizee vya cku hzi noma.Wewe ckunyimi kitu mpenzi, utapata hadi usivyotaka. Lol.
 
Haaaaaaaa Handsome!!!! FUll Mafagio! Mambo ya U-Handsome nakumbuka yaliisha 2003 hivi,sasa Uanaume ni Pakeeee!!! uo u-handsome wako ukiongezea na pesa inakuwa safi sana!!! Ushauri we mchukue tu huyo dada jumla au unaogopa BF wako uliyeaachana naye atakumaind?
 
Naomba nitumie nafasi hii kukushauri japo kidogo. Kwanza rekebisha kauli yako. Wanaume hawajisifu uzuri, utaolewa bura. Hizi ni hulka la kike na wanastahili kujisifu kwa uzuri hata kama hawana uzuri.

Unategemea kupata msichana wa aina gani na hali hata uliyekuwa naye amekukimbia? Wanajua kuwa wewe si riziki, wakikuangalia kwa ukaribu. wanaume husifiwa kwa kazi. Na kama unasukuma msosi vizuri kwa kuwa na kazi unagonga sana; safi. Wakusifu, unastahili. Hili la kwako la kujiona mzuri umelitoa wapi. Na kwanza ulijuaje kuwa wewe ni mzuri au kioo kilikuambia kuwa u-mzuri. Hii sijapata kusikia.

Ujitazame upya, jiheshimu kama mwanaume. Hata ungekuwa mzuri kiasi gani, si jambo la mwanaume kujisifia. Hiyo fani ina wenyewe.

Pili, hii UDOM unayosoma ni ipi. Sijui kama UDOM wanaruhusu watu kuisababishia lugha ya watu maumivu "INFLAMMATION". Haya maumivu ni makubwa sana. Sasa na sisi tukikatazwa kutumia hii lugha itakuweje? Maana hatuna huruma na lugha ya watu. Ni sawa na mtu akushindilie ngumi ya puani, utajisikiaje?

Nani kwanza kakuambia utumie hii lugha na hali inakupiga chenga. Kuongea huwezi hata ya kuandika kama kweli wewe ni mwanafunzi aliyehitimu UDOM? Aibu gani hii. Sisi tumetoka shule za kata lakini tuna huruma na lugha ya watu. Kumbe ndio maana wasichana wanakukimbia, huna huruma. Na kwenda huko ughaibuni ulitumia mbinu gani mpaka ukafanikiwa kupata nafasi hiyo. Au utasema watu waliona uzuri wako?

Lugha iko "ICU" na Sasa ndio umemaliza UDOM na lugha ndio hiyo; hata barua ya uchumba utaandikaje? Maana ninawasiwasi kama kutongoza unaweza.

Kila la kheri na karibu sana mtaani.
 
Gobret umemaliza kila kitu. Sijui kama atarudi tena hapa na hizi story zake kuwa anaonewa. Watu wanamwambia kweli yeye anaona anaonewa. Mr Handsome mwache abwabwaje maana wanaume wapo ambao wanatafuta mahandsome kama yeye. Mwisho wake huyu dogo ni mbaya sana na majigambo yake. Mwanaume hasifiwi uzuri kaka. Weka pesa mfukoni na fanya kazi kwa bidii ukiwa na nguvu za kufanya na ile kitu hapo jisifie
 
HANDSOME ....Mi sikujui ila inaonyesha unajisikia,pia unamalingo...... sio dhambi kuwa na sifa hizo ..ila nikikwazo kwa unayetak awe wako wa maisha..unajua mwanaume hapendwi kwa sura yake(handsome)..kunamambo mengi sana yanamfanya mwanaume apendwe..pia mwanaume kujisifu mbele ya hadhara kama JF eti mi HB..Lazima unaupungufu furani kimtazamo..all kuna kitu huyo msichana anataka ujirekebishe.....so ask her...
 
Handsome hii thread sio mahala pake bana, naona utoto mwingi hayo matatizo ni madogo sana it look your too young to have an affair sababu issue unazo zieleza ni ndogo saana kuwaelaza watu wakusaidie. Tulia ukue kidogo hayo mambo sio ya kukimbilia Dogo

 

Moodule kumbuka dogo yuko UDOM hapo so sio mtoto mdogo
May be tatizo lake sio kubwa la kuwaeleza watu wamsaidie na angeweza kupata msaada mzuri sana ila tatizo lake hayo majigambo humo ndani yameharibu kila kitu ndo maana watu wamemponda sana
 
duh! We mkaka mbona serikali ya UDOSO iliyopita hapa ng'ox na haiti haikuwa na handsome hata mmoja? Ulikuwa Mbunge au waziri wa nini wewe? Mwee eti ur so handsome hakuna wa kukufaaa? Alichokuambia was vice versa, ur ugly..! Sory!
 
duh! We mkaka mbona serikali ya UDOSO iliyopita hapa ng'ox na haiti haikuwa na handsome hata mmoja? Ulikuwa Mbunge au waziri wa nini wewe? Mwee eti ur so handsome hakuna wa kukufaaa? Alichokuambia was vice versa, ur ugly..! Sory!


Hahahahah
Sabry mvumilie kidogo maana naona anajiboost watu wajue ni handsome na kama kupata wachumba apate
 
Huyu jamaa mshamba kweli,yan kwenda south africa akakaa cku mbili ndo anaona katembea...hawa ndo wanaofanya udom idharaulike yan.
meona eeh? Alikuwa waziri wa nini huyu? Lazma kanatokea sosho haka kahandsome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…