huyu dada ananisumbua akiwa monthly service ya kumwaga oil anataka nimuwashie jenereta eti kwa kigezo kuwa ndio matokeo ya mgao.namwogopa mungu.yale yale ya sodoma na gomora.nimefunga mkataba nae akadai eti waarabu mbona wapo?akili ya kuambiwa changanya na yako wan jf