huyu dada vp?anapenda kuwashiwa jenereta

MANGI1979

Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
42
Reaction score
4
huyu dada ananisumbua akiwa monthly service ya kumwaga oil anataka nimuwashie jenereta eti kwa kigezo kuwa ndio matokeo ya mgao.namwogopa mungu.yale yale ya sodoma na gomora.nimefunga mkataba nae akadai eti waarabu mbona wapo?akili ya kuambiwa changanya na yako wan jf
 
Aiseeennimekuelewa mkuu hafai huyo!
 
Halafu anajiita Mangi...unatudhalilisha waMangi bana!
 
nipigie pande nikusaidie kama mgodi umekushinda wachimbaji tupo
 
Ahhh haya mambo haya bana
Huenda ameshafanya anataka kusikiliza watu wanasemaje hapa
Ahhhh
 
Hehehehe Mungu akuepushe na adhabu ya kaburi ndugu yangu timua mbiyo Generator siyo issue.
 
ama kweli kupitia thread ya mtu unaweza jua umri wake...............
 

Mangi, generator ni kitu gani? Mi babu yako, umri umeenda hivyo kiswahili cha kisasa kinanisumbua sana mjukuu wangu. Nimekuelewa sehemu moja uliyosema unamuogopa Mungu, hayo ni mawazo sawia kabisa, endelea kufanya mambo ya kumpendeza Mungu.

Ubarikiwe.
 
Nasikia kwamoto kinoma. watu wengine mna bahati, mimi kila nikiulizia wanasala eti kama ni hivyo urafiki ufe. imekaaje?
 



Kuna watu humu hawamuelewi huyu Jamaa, maana ya anachosema / anachomaanisha!

Kwa wale wasioelewa ... Read/connect rangi ya blue...

Tatizo la viswahili vya mtaani


.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…