Lilikuwa dansi la shule mbili za sekondari za bweni,
moja ya wadada nyingine ya wakaka. Wadada
wawili walikuwa wamekaa peke yao mmoja ana
sura mbaya mwingine ana sura nzuri. Yanki mmoja
akawaibukia, akamuendea mwenye sura mbaya,
YANKI: Sista unapenda kudance? MDADA: (Akasimama kwa furaha) Sana tu
YANKI: haya nenda kacheze nataka kuongea na
rafiki yako