Kwa nini unataka kumuoa? yaani kumwona tu, hata maguu 18 hujaingia unatakla kumuoa? Take care to know her, before you decide taking any serious commitment. Marriage is not a rehearsal
Tafuta njia mbadala, anza kuuchuna ili ajae mwenyeweWasalaaaam,
Jaman mimi nimenasa demu katulia ile mbaya, nimependa sana anakazi yake fresh namimi ninakazi yangu fresh! Huwa nachati naye sana yaani sana! Katika maongezi yetu yeye hataki kabisa kuzungmzia masuala ya love wala ndoa, mkifika tu huko anakwambia "CHANGE TOPIC" mi napenda kiukweli nataka nimuoe awe wangu home kwangu, ila anaonekana kunizingua kihivyo yaani, upendo anao tena sana tu nimeuoa! sijamwambia nia yangu make nikitaka kutengeneza njia ananiambia change topic, nimfanyieje wajamen ili nimnase?
kwenye mambo haya usisikilize anacho sema angalia matendo yake
1. Angalia vitu kama proximity mnapokuwa pamoja. Hiki ni kitu ambacho mtu akupendaye hawezi kuficha. Kama huwa anakukaribia au kama ukimsogelea huwa hakuzuii basi ujue mambo poa. Pia kama awahi kukuomba kuwa pamoja hata kama kukupa lame excuse ya kumsindikiza sehemu ujue anaonyesha kukukubali.
2. Siku kukiwa na wanawake wengine karibu tumia fursa hiyo kuongea nao kirafiki ukionyesha uchangamfu huku ukimpa mgogo kidogo girlfriend wako, hii ni poweful body language ya kuonyesha kama unamkataa vile na kuwakubali wengine. Kama atakukaribia ilikulinda mali yake (wewe) ni dhahiri atakuwa anakupenda, kama hatajali ni kwamba hana mpango nawe, ukilazimisha utaumia.
3. Angalia marafiki zake wanavyokuwa nawe, je huwa wanakupa jicho la husuda? Kama ndivyo basi lazima atakuwa anakusema vizuri kama la basi huwa anakuinjoi kwa marafiki zake, cha kufanya nikuchapa lapa.