huyu demu niaje?

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Ni demu wa mshikaji, mbaya zaidi anatembea na jamaa mwingine and kamtambulisha huyo jamaa mwingine kwa mpenz wake, and hao wanaume wamekuwa marafiki bila kujijua wanatembea na demu mmoja, sasa sipati picha jamaa anaezungukwa akijua, Mungu aingilie kati kwa kweli
 
shida iko wapi hapo na wewe kinachokuuma ni kipi. Acha washikaji wale na wao waliwe. Usiingilie mapenzi yao, kwani huyo jamaa yako kakwambia anataka kuoa? We ni mmoja wa wanaodhani mademu zao ni wao tu wanaowarusha roho, ukiona unakula ujue nawe unalika. Hakuna demu wa peke yako, shauri yako!
 
We ndyoko niaje? Mbaya mshikaji kashajitambulisha kwa kina demu na kamvisha pete ujue? And ni mshikaji wa karibu anakula, atauwawa mto wewe? Unazani mke wa mtu tu ndio sumu? Hata demu wa mtu huwa sumu. Hakuna mtu anaependa kuliwa mali zake mzazi
 
kwanza mwanamke mwenyewe ni demu
afu miguu yake imechanuka tu
unategemea nini?

Acha aliwe, waliwe, walane.
 
Urgent.Mstue rafiki yako kwa njia yeyote ile.Usisikilize ushauri utakaoonyesha urafiki wenu ni artificial
 
huyo mwanamke ni bonge la gaidi aisee... utakuwaje na guts za kufanya hivyo katika hali ya kawaida?
 
ukimegewa demu wako nawewe tafuta mnyonge ummegee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…