....nimeshamweleza kilicho moyono mwangu anadai ananichunguza eti hajanifahamu vizurii!!!
....nikimwita sehemu za public ambapo anajua siwezifanya kitu anakuja....
eeeh ushauri haujakaa barabarani kabisa
Unataka tumshaurije. Aondoke bila bila? Acha hizo mdada.
...Chrispin, wiki?? Unaomba kazi au una madai naye yoyote?? Kwangu ndani ya three days hakijaeleweka naachana nae...kwani nini anisumbue kwa jambo linalotuburudisha sote??? Kila mtu abaki na kifaa chake!!Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?
...Chrispin, wiki?? Unaomba kazi au una madai naye yoyote?? Kwangu ndani ya three days hakijaeleweka naachana nae...kwani nini anisumbue kwa jambo linalotuburudisha sote??? Kila mtu abaki na kifaa chake!!
Kwangu mimi ikipita wiki hakijaeleweka nasepa. Kwani nini bwana, nahangaikia chakula au?