Greataziz
Senior Member
- Feb 8, 2018
- 124
- 99
Huyu Dingi Yao Kama anajua Anapendwa Kwanini Anakataa Kuendeleza katiba Mpya ya Warioba...!! Kwanini CCM na Genge Lao Ukiwaambia kuhusu katiba Mpya wanatukana matusi na kutamani kukuua kabisa wengine wanaenda Mbali Zaidi na kukuitia Police kama we mchochezi. Huyu mzee wao kama anajinasibu anakubalika kwanini asiruhusu katiba Mpya Imaliziwe...!!