Hiyo hiyo ndio inaongelewa sasa shida iko wapi kuiendeleza tupate katiba mpya kama anajinasibu kuwa anapendwaHakuna kitu inaitwa katiba ya Warioba. Warioba aliongoza tume ya kupokea mapendekezo ya katiba mpya. Mapendekezo yalijadiliwa na kupitishwa na bunge la katiba kilichobaki ni kura ya maoni.