Huyu Director wa video mchele au pozi za Lulu hizi

Huyu Director wa video mchele au pozi za Lulu hizi

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
IMG_1016.PNG
Haya mambo ya instagram sasa sijui ndo coming out the closet au ndo tunaenda sambamba na kina lulu kwa mwendo wa WCW wtva! Jack Wolper upo hapo? Ma selfie hayooo. innanilah......koh!
 
Wanasemaga huyu mtoto wa Mchungaji eti ni shoga...

na haya mapozi Mhhhhhhhhhhhh
 
Mhh...si mtoto wa mchungaji huyuu?
Ndo mana kuna siku jamaa mmoja alisema humu kuwa hawa wachungaji uchwara wanadhulumu sana watu na ndo maana mungu anawalipa hapa hapa duniani, familia zao zinakuwa na mambo ya ajabu....!

Sasa hii si shiiida hii....Amuwekee ma body guard...
 
instagram

hahahahahaaa uuuwii, eti na kidole kabisa mdomoni jamani. no doupt huyu atakuwa beche
 
Last edited by a moderator:
alafu kacopy na kupest pozi za lulu, manake lulu nae asipoweka hilo pozi la kidole mdomoni picha zinaungua.
 
alafu bandugu hizi pozi za kurefusha kimdomo mbele na kutoa ulimi upande expire date yake lini?? manake huko insta ni kama mashindano ya nani anajulia kurefusha kimdomo na ulimi zaidi. mimi zishanichosha ptuuuuu!!!!
 
Yaan hako ka style loo ni shidaaa sijui ikitoka hii ya kubetua mdomo itakuja ya ajee loo
Wengine inawependezea wengine sasaaa
 
Mhh...si mtoto wa mchungaji huyuu?
Ndo mana kuna siku jamaa mmoja alisema humu kuwa hawa wachungaji uchwara wanadhulumu sana watu na ndo maana mungu anawalipa hapa hapa duniani, familia zao zinakuwa na mambo ya ajabu....!

Sasa hii si shiiida hii....Amuwekee ma body guard...

Yaan huyu katinda mpaka nyusi aisee wazazi tuzaeee haki ya mamaaa hizo sio poziii eti ndio kuna mdada alikua anasema akimuona tu huyu chupi inalowaa yaan shoga chupi ikuloeee
 
Mwanaume kupiga picha unang'ata kidole mie nakuwaga sielewi maana
 
Ilo jibu mkuu wewe pigia mstari na utafute peni nyekundu utie tiki ushaona sijui ninibybee uzima utoke wapi lipnini kapaka,mapouda,nyusi kazichonga kwa nini na mabandani asimpe mwekezaji.
 
Mhh...si mtoto wa mchungaji huyuu?
Ndo mana kuna siku jamaa mmoja alisema humu kuwa hawa wachungaji uchwara wanadhulumu sana watu na ndo maana mungu anawalipa hapa hapa duniani, familia zao zinakuwa na mambo ya ajabu....!

Sasa hii si shiiida hii....Amuwekee ma body guard...

Yap yap...Ni mtoto wa Mh/Dr/Baba/ Nabi mkuu wa Manabii/Ptof Geor Davie
 
huyo dada kapendeza bhaana!" ........... acheni hizo, mpeni sifa zake!" mi sijaona tatizo la pozi la huyo dada.

Grand PA
 
Back
Top Bottom