alafu bandugu hizi pozi za kurefusha kimdomo mbele na kutoa ulimi upande expire date yake lini?? manake huko insta ni kama mashindano ya nani anajulia kurefusha kimdomo na ulimi zaidi. mimi zishanichosha ptuuuuu!!!!
Mhh...si mtoto wa mchungaji huyuu?
Ndo mana kuna siku jamaa mmoja alisema humu kuwa hawa wachungaji uchwara wanadhulumu sana watu na ndo maana mungu anawalipa hapa hapa duniani, familia zao zinakuwa na mambo ya ajabu....!
Sasa hii si shiiida hii....Amuwekee ma body guard...