Huyu Diva Loveness ana matatizo gani?

Huyu Diva Loveness ana matatizo gani?

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
diva+pic.jpg
 
na wewe nawe, yani hata haka kaselule unahangaika nako? bora umsikilize makamba kuliko haka kadada
 
hahahahhah humu kuna watu wa umri gani jamani,mpaka haka katoto mnataka tukajadili kwani tushafanya mangapi katika umri wake :spider:
 
hahahahhah humu kuna watu wa umri gani jamani,mpaka haka katoto mnataka tukajadili kwani tushafanya mangapi katika umri wake :spider:

hahaha kwani una umri gani shosti>? Ni PM tafadhali......
 
hahahahhah humu kuna watu wa umri gani jamani,mpaka haka katoto mnataka tukajadili kwani tushafanya mangapi katika umri wake :spider:
yani hii sredi ianonyesha digidigi wapo sana
 
its her blog! she can put whatever she wants,be it copy and paste or not...mnh
 
nimecheka sana baada ya kusoma wapi alipoyatoa hayo maneno! shame on her, halafu anajidai anajua ki inglishi, kwani kuna shida gani akiandika kimatumbi?
nafikiri kwasababu anayemcopy anafunga blog na yeye ameamua kufunga.
hawa ndio wale wanaogelezea mpaka jina kwenye mtihani.
SHAME ON U SO CALLED DIVA
 
Hahahahahahaha ! Duh! NI NOUMAAAA! Anywayz, haka ni kamtu kadogo sana usijisumbue nako
 
its her blog! she can put whatever she wants,be it copy and paste or not...mnh
mh... nadhani kuna sheria/taratibu ya ku-acknowledge the author... plagiarism sio kwenye dissertation tu
 
nimecheka sana baada ya kusoma wapi alipoyatoa hayo maneno! shame on her, halafu anajidai anajua ki inglishi, kwani kuna shida gani akiandika kimatumbi?
nafikiri kwasababu anayemcopy anafunga blog na yeye ameamua kufunga.
hawa ndio wale wanaogelezea mpaka jina kwenye mtihani.
SHAME ON U SO CALLED DIVA

Plagiarism imejaa bongo! Copying and pasting every where and every time! Chunguza elimu yake unaweza ukakuta ana division za kata!
 
Maskini DIVA!!!wabongo wamekushtukia unalo!! Nakushauri utulie utoe vitu vya ukweli ili wakukubali tena! By the way ku copy si dhambi ila inakuwa dhambi usipo mu-acknowlegde mwenye mavitu yake! Unaitwa wizi wa kitaaluma ni dhambi kubwa katka taaluma yoyote ile!! I hope umenisoma
 
its her blog! she can put whatever she wants,be it copy and paste or not...mnh

Ni blog yake ndio lakini Duh, aise Inakera sana kuona mtu ambae hayuko Original, Dont know about you ... I thought the whole point ya blog ni creativity na freedom of expression au sio?
 
Yani huyu mdada blog yake ni anacopy na ku-paste from American bloggers na anatufanya sisi kama mazuzu ivi. ...cjui anafkiri hatuoni au? watu wengine wasiwe tu na blog jamani manake naona imekuwa kama fashion Tanzania halafu wanaongea pumba tu...blog gani inapendwa zaidi?

Leo kaandika hivi na kimdoli pembeni...
I'm taking an extended break from blogging and may not be back online for quite a while.
I just have some personal stuff going on in my personal life and other issues so I just can't put my all into blogging right now.
But hey, follow me on twitter. That's where I'm at! Big thanks tomy fans for all their support. As for the readers, I'll be seeing you guys in the foreseeable future and thanks so much for supporting.
xoxo Diva 255 Inspirations: BREAKING NEWS !! ITS ABOUT TIME ....
ukifuatilia vizuri..hii ka-alternate kidogo tu, manake kacopy hapa
Toya'z World // My R&B, pop fix…
diva+pic.jpg

Kwa nini isiwe Toya yeye ndiyo ka-modify maneno ya Loveness? Haijaonyesha yeye Toya kapost lini kwenye blog yake.
 
Mimi nimfuatiliaji mkubwa sana wa Toya n Nbitchie ni mablogger wakongwe huko Marekani na naamini ukifutalia hiyo post utaona huyu Msichana kapost tarehe 6 MArch Toya alipost ....February Tarehe 20....ni suala la kutumia akili nakuangalia tarehe tu, sio lazima nikuambia as long as nimekudirect to the post...sawa?
 
Wewe unataka ubunifu wa aina gani ikiwa English its her 2nd properly 3rd language!
 
Back
Top Bottom