First HAJAPLAGARIZE Diva anareport kuwa Toya is moving on... ndo maana ameichukua hiyo msg, (BREAKING NEWS !! ITS ABOUT TIME .... that Toya is moving on.. ukiclick maaandishi ya "Mooving on" utapelekwa kwenye original post ya Toya.
SECONDLY Malalamiko mengine hayaeleweki kabisa, kama haupendi kwanini unasoma? Ni kiasi cha kufunga browser kwenda sehemu nyengine.