Huyu dj sepetu ni nan??

scatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
1,667
Reaction score
926
Wadau habari vp naona kama jf yetu imevamiwa na wakulima wa ndizi
Hivyo muda wote kunakua na thread zisizi na kichwa wa la miguu tafadhali naombeni wasifu wa mkulima huyu ili apewe utaratibu mzuri wa kuandika thread za kijanja ..
Tupo katika kuelekezana wadau
 
Atakuwa mkulima wa Dj Sepetu, ila vizuri zaidi muulize The List anamfahamu vizuri tu.
 
Hahaha mkuu naona Kaku udhi sana
 
Unawashwawashwa wewe!
 
Sema ndo hivyo kilamtu anauhuru wake,

Ila kuna watu huwa wanakera sana,


Kuna huyu dj sepetu kuna mwingine anajiita vladmiri putin hawa jamaa bhana,

Bora huyu dj sepetu yule mwingine sasa mara katongozwa na mademu pm hawataki mara blah blah ili mradi ujinga ujinga tu
 
Hata manabii hawakupendwa na kila mtu hata Mimi siwezi mfurahisha kila mmoja!

Jambo la pekee ni kuvumiliana na kwa kuliona hilo jf wakatuwekea machaguo ya majukwaa tofauti tofaut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…