Ni kuwa natural tu! Kufanya unachowezaSana unadhani yan anataman kuwa kama wewe lakini hollaaaaa
Hahaha! Unajua huu mchezo hautaki hasira,wao wanafanya mambo kutafuta kujulikana ilhali sisi wengine tunafanya naturallyWatu na nyota zenu wakuacheeeee
Haswaa shunie bila kufungua hawezi soma wala kuharibu siku yake!Mmeanza basi na mawivu yenu kama humpendi ukiona thread zake usifungue
Frsh Man ngoja tuburudike.Wapo wenye Kazi hizo bro Mimi ni mburudishaji tu
WelcomeFrsh Man ngoja tuburudike.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tizama kwa jicho la tatuwhy alime ndizi mkuu,kuna kitu behind hapa
Mbona leo sikukuona kanisani...[emoji45] [emoji45]Duuh eti Jf yao
We si umeondoka peke yako badala uniamshe na mimi[emoji24]Mbona leo sikukuona kanisani...[emoji45] [emoji45]
[emoji12]Mmeanza basi na mawivu yenu kama humpendi ukiona thread zake usifungue
Nilipitiwa na shetani, nikaondoka nae....tehteehhWe si umeondoka peke yako badala uniamshe na mimi[emoji24]
Teh umeenda na shetani kanisaniNilipitiwa na shetani, nikaondoka nae....tehteehh
Niliendanae ili nikamkane madhabahuni na kumchapa kwa upako wa [emoji91]Teh umeenda na shetani kanisani
Nina mashaka amekupitia hata hapo kanisani umerudi nae nyumbaniNiliendanae ili nikamkane madhabahuni na kumchapa kwa upako wa [emoji91]
Achana nao fanya yakoHaswaa shunie bila kufungua hawezi soma wala kuharibu siku yake!
Hivi hapo ndio umenikiss eenh[emoji11]