Huyu dj sepetu ni nan??

DJ Sepetu mnamuonea tuu mimi sijawahi kumkuta huyu jamaa jukwaa la siasa au kule jamii inteligence

yeye mambo yake ya burudani huishia jf chi chat sasa hapo kakuudhi nini

ukiona umeingia JF Chit Chit alafu unakereka basi jua umepotea njia wewe jukwaa lako ni lile la kina Malcom Lumumba

DJ Sepetu endelea kushusha vitu
 
Unaanzishia uzi mwanaume mwenzio??acha mipasho hizo kazi za kuanzishia uzi wanaume waachie kina demiss!
 
Demiss unajua watu wengine wanastaajabisha wamejaa chuki
We kaza mwendo...

Mtu hakulishi wala hakulipi anakukwaza nini???

Kwani JF analipia au ni mali ya baba yake??

Ukiona kitu kinakukwaza si unapotezea tu? Au kama vipi unampeleka kwenye ignore list biashara inaisha...
 
Umenifurahisha aspirin "ignore list"[emoji23] [emoji23]
 
Funga kazi kwa upumbavu hapa JF ni yule anajiita Gentamycine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…