Huyu DJ wa Wasafi anaharibu kipindi

Huyu DJ wa Wasafi anaharibu kipindi

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,311
Reaction score
15,640
Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma kuongea iwe kidogo sana.
 
Una wewe maskini tu kapuku usiye na mbele wala nyuma.
Tafuta posts zangu za nyuma labda zitakupa mwanga.... Sio maskini kama wewe unaejifariji kwa kutumia ubini wa koo za watu. Umaskini wako ni wa akili...hutoboi
 
 
Back
Top Bottom