Huyu Doctor anataka nini jamani?

Mkuu naomba unipasie Mimi. Kwani hata Mimi nipo singo na nina umbo la wembamba ambalo analihitaji.

*wewe endelea na kuuza maji.
 
Mkuu hadithi yako ni nzuri tu.
Pamoja Na mchanganyo wa herufi kubwa Na aina ya simu unayo tumia. Kuna mafundisho ambayo nimeyapata.
Tabasamu =ni sadaka isiyo kufilisi.
Kujituma = kuna zaa matunda
Penzi. = lina mwijia mtu asiolijali
senator wa Ntwara hongera sana.
Na wala usiwajali walio kuponda Kwa sababu wengi wao hawakufikii hata1/4.
 
yani weboya kweli...mi ningeshambembeleza zamaani wakati anasisitiza kunipa details....ninemlaza kifuani nimbembeleze siju dnt worry n life is sweet oneday u will get af kifuatacho kugegeda tu
 
Kwa sasa hakuna wasomaji....kwao nio ndefu...........
 
Huyu jamaa kwa promo hawezekani
Yaaani ni balaaa tupu..Duuuh!!!!!
 
Natamani ingekuwa true story.
Ina staili yako ya kipekee mkuu
 
Nimefurahia hii hadithi sana, hasa pale ulipokumbuka kagoro kako na kibubu chake che vichenchi vya nauki ya jurudia kijiji, ila siku nyingine uavhe hii tabia ya kishenzi ya kuchanganya maherufi makubwa na madogo. kwaheri.
Nawe uwe unapitia kwanza michango yako na kusahihisha makosa kabla ya kurusha hewani.Kwa mleta hadithi uwe unaongea uongo unaokaribiana angalau na ukweli.Ulikosoma hadi diploma na lugha ya kingereza isipande hata kidogo nakushauri wala usimpigie huyo dada simu wewe ni mzigo tu na hio kazi huwezi pata.
 
Jamaa anakopy simulizi kutoka vitabuni anatuletea hapa si mbaya hata hivyo wasomaji wote tuko mitandaoni siku hizi nasubiri next episode
 
Dah.. hii nitaisoma december wakati wa mapumziko [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…