Huyu Dogo karudi tena...

Ana nyimbo nzuri zaidi ya hiyo ila sijui huwa anakosea wapi huyu kijana..kuna ile nyamihela, mimi na wewe etc etc..nadhani huu wa sasa naona kama umemshusha tofauti na zile za mwanzo
 
Yule dogo anaitwa Momba alienda wapi?
Yupo Kigamboni ukifika pale ferry utamkuta.

Yupo na mshkaji wake Z.Anto na wale jamaa wa Offside Trick wakina Lil ghetto.

Na Mkubali sana jamaa anajua sana muziki ila sio mtu wa kujichanganya mwenzie Timbulo ambae wakati ule alikuwa hana lolote mbele ya Momba bado anasonga mbele huku yeye akiwa ameshakata tamaa na muziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…