Huyu dogo mayunga kitu gani anakosa kwenye mziki wake

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
Nimekuwa namfatilia huyu msanii mda mrefu alichonishangaza zaidi kwenye hii nyimbo aliyofanya kwa akon huyu dogo ni talented sana kaimba kama wakina chrisbrown huwezi sema ni mtanzania lakini bado tupo naye bongo hatuelewi nini kinaendelea na nini kinachomfanya ashindwe kuliteka hata soko la afrika kwa uwezo huu
Mayunga feat Akon - Please Don't Go Away (Officia…:
 
Tafuta kwanza tafsiri ya neno Mayunga kisha utupe mrejesho.
 
Ni moja kati ya wasanii nnaowakubali kutk bongo anajua sana
 
Akae chini na Babu Tale, na yule ngumbaru mwenzake ndiyo walio shikilia soko la sanaa la wasanii wa tanzania
 
Kuwa Ruge yataka moyo mgumu maana kila msanii anayefail utaambiwa Ruge ndiye kamfailisha.
Kujua kuimba jambo moja promo jambo lingine.
Dogo anajua na hiyo ngona naikubari sana lakini hata wenyewe akina Akon wameshindwa ipush walau iwe hit Afrika sasa mtamsingiziaje Ruge na Clouds hapo..
 
anakosa kitu kimoja kikubwa sana nacho ni NYOTA/BAHATI. yani hiki kitu ukiwa huna bana una kazi kweli katika kifanikiwa hata kama utakuwa na jitihada au ubora kiasi gani..hii ipo hata maofisini kuna watu wanapiga kazi kweli kweli na wengine ni wakongwe kazini lakini hawapandi vyeo au kupewa kipaumbele kwnye mambo fulani. But utakuta mwengine jitihada yake ni ya kawaida tu lkini wakuu wote wanamuona yeye tu na promosheni kibao,tena ni kijana wa juzi tu kazini...Nyota Nyota Nyota.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…