David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,894
- 6,020
ni mhitim wa a'level pcb 2012, hakufaulu vizuri alipata ssd, 2013 alirisiti chem, bios, pure math akaachana na physics alipata cde. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na physics akiomba md atapata? Mwele kujua atusaidie tumpe ushaur plz maana sisi wengine sience tuliisikia tu.
Aje hapa kibubwe tuuze mkaa.
Nashuku mkuu! Naendelea kupokea ushauri siku zinayoyoma tujue chakufannya,Kuna vyuo Algeria tumeambiwa viko poa na ni Bora Afrika kwa Medicine, hapa tunafanya mchakato wa kuvifuatilia na kuweka vizuri mambo ya wadhamini.
Nashuku mkuu! Naendelea kupokea ushauri siku zinayoyoma tujue chakufannya,Kuna vyuo Algeria tumeambiwa viko poa na ni Bora Afrika kwa Medicine, hapa tunafanya mchakato wa kuvifuatilia na kuweka vizuri mambo ya wadhamini.
Hayo yote yana ukweli mkuu! Ngoja dogo tumpeleke nje tisikumkwamisha ndoto yake.Kama ndani hawatamkubali kwann tusiende nje?Tunajua kuifikia ndoto yako kuna vikwazo vingi lakini kuikwamisha ni simple.Kama hela ipo mpelekeni UK or US anapokelewa kwa shangwe zote tena kwenye vyuo vya maana tu akirudi bongo atakua vizuri tu.
Malaysia pia kuna " Mahsa University " anasoma cousin yangu kina ranking nzuri and very reputable aki apply hakosi nafasi wazungu wanaangalia zile key subjects individually kame amefaulu fresh wanamchukua. Alaf bei sio ghali kivile compared to Europe.
Mdogo wangu alisoma ECA (A levels) akapiga C, D na Fail ya Accounting. Ka apply UK BSc. Accounting and Finance kapokelewa fresh ka graduate anafanya MSc. sasa hvi. Walimuuliza if u wanna do the course put the work in if not achague course nyingine...walijua ana experience wit accounts na masomo mengine ya biashara amefanya fresh (hakufeli more than half in his combination i.e. ECA)...Academic advisors waka assume alifail accounts bahati mbaya akipewa support hawez shindwa.
Mzungu at tyms anaangalia circumstances na ur Academic history from O' Level kukutabiri. They dnt wanna waste ur time. Sio kama Tz. All in all namtakia kila la kheri. Uje utupe feedback ameendeleaje.
tatizo wabongo unapotaka kwenda chuo unaanza kutaka sifa.
believe me hakuna wito unaotimia in tz utaishia kupata stress bure.
usipopata ushauri mzuri unajikuta unaishia kusoma kozi ngumu aafu baadaye unajutia.
mwambie dogo acheki ARDHI university kuna zile kozi za kuchora chora na kupanga miji mtu unakula shavu lako zuri na kijiwe chako unatembea nacho mfukoni.
mimi ni dactari ila siwezi kumshauri mdogo wangu akasome md kama anategemea kuishi tz.
ni kazi yenye stress nyingi na iliyopoteza thamani baada ya siasa kuzidi kila sehemu.