Huyu Dr. Aweza kuwa bado yu hai au BOT bado kuna mzimu wake- PARADISO YA AFRIKA

geophysics

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
904
Reaction score
167
Jamani niwasalimieni....
Nimeperuzi katika tovuti ya BOT kwenye list of Governors nikakutana na orodha ya magavana waliowahi kuongoza chombo hiki mahususi kinacho tuzika wakati fulani na kutufukua wakati mwingine kutokana na mfumuko wa bei. Kati ya ma gavana hao ni Dr. Daudi Balali tu amewekewa article... Bank of Tanzania: About the Bank - Daudi T. S. Ballali (Swahili Article) ukifungua ukaisoma mwisho kabisa inasema....""wiki ijayo Dr. Balali ataelezea mikakati inayoweza kuisaidia nchi yetu kuwa Paradiso ya Africa"".
Hivi ni kweli alikuwa mwema na mchapa kazi kuliko wenzake wote kiasi kwamba aendelee kutukuzwa kwa kuwekewa makala kwenye tovuti ya BOT
 

Mwaka 2006
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…