Huyu Dr. Bana vipi?

Kanundu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
889
Reaction score
345
Akizungumzia migogoro, fujo na uharibifu wa mali, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Benson Bana, alisema inachochewa na kauli za baadhi ya wanasiasa na asasi za kiraia (Azaki) dhidi ya serikali.

Dk. Bana alisema kama hawatadhibitiwa itatishia umoja, usalama na udugu wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa.

Hivi huyu jamaa ni Mhadhiri wa namna gani? Mbona anayoyasemaga hayaendani na kiwango cha elimu yake (kama ni Dr. kweli)?? Au ndiyo wale wahadhiri kutwa kucha wapo kwenye mabanda ya kuku? Hawana hata muda wa kujisomea ili kujijengea upeo mpana wa kuelewa jinsi jamii inavyo hitaji mabadiliko!!!!!

Pole sana Dr, Bana, kwa kuendekeza njaa elimu yako umeamua kuitia chooni!!!!
 
bado haijaja ile kampuni yao ya utafiti sijui inaitwaje....kuja kutudanganya na tafiti zao za data za grocery kuhusu mstakabali wa Taifa letu
 
Digirii zake zinahitaji kupigwa polish ama sivyo ataendelea kujidanganya
 
Yule jamaa ni kanjanja na kibaraka wa Magamba A to Z. Na sijui ni kwanini vyombo vya habari huwa vinapendelea kumpa coverage wakati anachokizungumza kinazidiwa na maoni ya wanakijiji ambao elimu yao kubwa ni Std VII. Hovyo sana huyu kada wa Lumumba!
 
Kwa wahadhiri wa type hii sitarajii kama wasomi wa nchi hii watasaidia taifa!Upeo mdogo hata kuwa mwl wa chekechea hafai!
 

u dr wa madesa ataendelea kujipendekeza ili apewe cheo wapi.anaota uvc
 
Huyu jamaa alianzia ualimu wa shule ya msingi, kajiendeleza hadi kafika hapo.. Yan katika madr vilaza pale UDSM huyu jamaa ndo Kubwa lao... Hopeless kabisa.
 
Nchi hii tuna matatizo mengi cha ajabu tunaotarajia watoe majibu ya matatizo.........Afadhali ya wahuni wa vijiweni huwa wanamajibu!
 
bado haijaja ile kampuni yao ya utafiti sijui inaitwaje....kuja kutudanganya na tafiti zao za data za grocery kuhusu mstakabali wa Taifa letu

DR wa posho huyo hana lolote, kazi kusifia tu, hata Phd yake nna mashaka nayo
 

Njaa inamsumbua. Msomi kama yeye nilitegemea azungumze zaidi ya hapo, philosophy behind hizi fujo so as to bring up the root cause of all these! Sio kutoa matamshi ya kisiasa ili JK akusikie nawe akurushie Ubunge kama Mbatia! Mhaya unatuaibisha!!!
 
Asiposema hayo atalipwaje?
 
kwa kwel dr. bana huwa anacomment mambo chin ya matarajio na kiwango cha elimu yake, dalili zinaonesha n mwana magamba damu.
 
kwa kwel dr. bana huwa anacomment mambo chin ya matarajio na kiwango cha elimu yake, dalili zinaonesha n mwana magamba damu.

Dr. Bana ni kati ya wasomi wanaotiliwa shaka ya uwezo kielimu na maono yao kwa ujumla. Huyu ni kati ya wasomi wa hapa tz ambao wanajadili au kutoa maoni huku wakisubiri huruma ya vyeo au upendeleo kutoka kwa watawala. In short huyu ni kati ya wasomi wanafiki hapa nchi wasiotakiwa kuombwa ushauri wa aina yoyote kwani yeye anafanya kwa masilahi binafsi.
 
Juha mwingine huyu ambaye hata elimu yake inatia mashaka makubwa sana kutokana na kauli zake za ajabu ajabu kutetea uozo.
 
teh teh teh.....dr kawatachi eeeh!!!!poleni sana...congrats dr bana.....!bravoooooooooooooooo!
 
Wendawazimu wapo wa aina nyingi.huwa wanatofautiana ukubwa na aina ya uwendawazimu.wendawazimu wengine huwa nadhifu sana ndo kama huyo dr wenu.ni mgonjwa sio yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…