Nimeanagalia vipindi vyake ana advocate vyakula asilia kama tiba. Lakini cha kushangaza anajicontradict vibaya sana. Mara aseme tusile kitimoto, mara tusile samaki, eti wanakula mizoga kwa hiyo wanaambaukiza watu magonjwa, mara tusile nyama kama simba , kwa sababu haisagiki sawa sawa na mambo mengi kama hayo? Hivi jamani asemayo yana akili ya kidakitari kweli?