Huyu Elia Wilinasi anastahili teuzi kwenye taasisi nyeti kwanini serikali isimchukue na kumtumia

Huyu Elia Wilinasi anastahili teuzi kwenye taasisi nyeti kwanini serikali isimchukue na kumtumia

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Nimejaribu kusoma CV ya huyu kijana anaitwa Elia Wilinasi nimeshituka sana.

Hii ndio CV yake https://www.linkedin.com/in/elia-wilinasi-a08443175


Kama mnakumbuka nimewahi kuleta uzi mmoja uliokua unaeleza jinsi alivyo toa ushauri kuhusu bei ya mafuta, gesi and mbolea na hatua ambazo serikali ingezichukua ili kuidhibiti bei iliyokua inapanda.


Anaonekana anafahamu mambo mengi kuhusu mafuta na gesi.

Mimi binafsi ni mdau wa mafuta na gesi. Lakini mambo niliyoona huyu kijana anayo ni makubwa sana.

Anaweza kutusaidia tukimpatia nafasi ya kukaa mahali.
 
Back
Top Bottom