Huyu Ex wangu kaniloga

Huyu Ex wangu kaniloga

Sharobaro la jf

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2020
Posts
237
Reaction score
325
Wakuu habarnii za miangaiko ya hapa na pale, kiukweli kuna mwanamke tuliachana miezi mitatu imepita ila cha ajabu nashindwa ku move on jamani mda huu kanifanya mtumwa maana nimemuomba turudiane kakubali ila sasa hajawahi kunitumia SMS hadi mimi nimuanze na anajibu kifupi.

Najua hanipendi na ana kila dalili kuwa kashapata mtu ila nashindwa kumsahau na kila nikijitahidi kusema ni move on kwake najikuta tu nashindwa, naombeni wakuu mnipe mawazo, maana na yeye kashajua siwezi kuishi bila yeye ananifanyia vituko
 
Back
Top Bottom